15Oct
NA SALUM VUAI HATIMAYE kazi ya kutandika lami katika barabara ya daraja la Kibonde Mzungu inayofanywa na kampuni ya ujenzi MECCO kutoka Dar es Salaam imekamilika. Hatua hiyo imefikiwa juzi Jumapili ambapo waandishi walioitembelea barabara hiyo walishuhudia shughuli ikiendelea hadi kiza kikiingia kuruhusu taa zilizowekwa katikati ya daraja hilo kuwaka na kupendezesha mandhari ya eneo hilo. Akizungumza na ...